Connect with us

Makala

Historia Fupi Ya Mo Salah

Mohamed Salah ambaye ni mshambuliaji wa mbele wa Liverpool na timu ya taifa Misri ana umri wa miaka 27 ambapo amezaliwa tarehe 15 Juni 1992 huko nchini Misri.

Mo Salah amefunga ndoa na Magi Salaha mwaka 2013 mwezi Decemba nchini Misri na kubahatika kupata mtoto mmoja wa kike aliyepewa jina na dini ya kiislamu Makka Salah mnamo mwaka 2014.

Timu mbili ndizo anazozichezea mpaka sasa ni Liverpool inayoshiriki ligi kuu England na Timu ya Taifa Misri zote akiwa ni mshambuliaji wa mbele .

Amefunga jumla ya mabao 11 kwenye ligi kuu England msimu huu wa mwaka 2019/20 huku akiwa na wastani wa kufunga kila baada ya dakika 155 bao moja kwenye jumla ya dakika 1,706 alizocheza ndani ya Liverpool.

Mohamed Salah mbali ya kufunga na kuwa na maba0 mengi anarekodi ya kutoa asisti ambapo ametoa jumla ya asisti 5.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala