Connect with us

Makala

Hii Ndio Mikoa Teule Kuchezeshea Ligi

Mikoa miwili ya Mwanza na Dar-es-salaam ndiyo iliyoteuliwa kutumika kwa ajili ya kumalizia ligi za soka msimu wa 2019/2020.

Ligi kuu ya Vodacom na kombe la shirikisho la Azam Sports itachezwa jijini Dar-es-salaam katika uwanja wa Taifa,Uhuru na uwanja wa Azam Complex.

Huku mkoani Mwanza zitachezwa mechi za ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili katika uwanja wa CCM Kirumba na uwanja wa Nyamagana.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala