Connect with us

Makala

Heri Ya Siku Ya Kuzaliwa Juan Mata

Juan Mata ni mhispania ambaye anaitumikia timu inayoshiriki ligi kuu England,Manchester United kama beki pia anacheza ndani ya tamu ya Taifa ya Hispania.

Nyota huyo aliyesajiliwa ndani Manchester United mwaka 2014 akitokea Chelsea amekuwa kati ya mabeki bora na wenye umuhimu mkubwa ndani ya timu hiyo.

Mata amezaliwa April ,28 ,1988 na amekuwa akizungumziwa vyema na wachezaji wenzake kwani amekuwa akionyesha ushirikiano mzuri kwa wachezaji wenzake wakiwa uwanjani hata nje ya uwanja.

Beki huyo amecheza jumla ya mechi 170 ndani ya Man United ,amefunga jumla ya mabao 33 na kutoa asisti 30.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala