Connect with us

Makala

Gormahia Kutafuta Mbadala wa Polack

Gormahia wametishia kuajili kocha mpya iwapo kocha wao,Steven Polack hatarejea nchini humo kufikia mwishoni mwa wiki hii,yaani Octoba 4.

Polack aliondoka nchini humo mnamo Agosti kwaajili ya likizo ya siku 10 lakini mpaka sasa hajarejea na sivyo ilivyotarajiwa kwa kikosi hicho ambacho kina malengo makubwa ya kupiga hatua zaidi kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika(CAF Champion League)

Mabingwa hao walioshika usukani mara 19 ligi kuu Kenya walianza kujifua upya kwa ajili ya kampeni ya msimu ujao wa 2020/2021 wiki mbili zilizopita chini ya kocha msaidizi,Patrick Odhiambo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala