Connect with us

Makala

Fernandes Apigiwa Hesabu Manchester United

Kocha mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameonekana akimpigia hesabu mchezaji wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes baada ya usajili wa dirisha dogo kufunguliwa mwezi Januari.

Bruno Fernandes anatajwa na kocha  huyo kuwa mbadala wa kiungo wake Paul Pogba ambaye anasumbuliwa na majeraha kwa sasa.

Ugumu unakuja kwa Manchester United kumpata nyota huyo kwani watani wao Manchester City na Chelsea wanatajwa kuwania saini ya mchezaji huyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala