Connect with us

Makala

Corona Yakatisha Ndoto Za Garcia

Kocha wa timu ya vijana AtleticoPortada Alta ya Hispania ,Frorida Garcia amefariki kwa ugonjwa wa virusi vya Corona akiwa mwenye umri wa miaka 21.

Garcia alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya damu uliosababisha mwili wake kukosa uwezo wa kupambana na virusi vya Corona baada ya kupelekwa hospitalini.

Kocha huyo alikuwa mwathirika wa tano kati ya watu 300 walioupata ugonjwa huo katika mkoa wa Malanga nchini Hispania.

Shughuli za soka nchini Hispania pamoja na Ligi ya La Liga tayari zimesimamishwa kwa nia ya kulinda wachezaji na kuzuia kuenea.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala