Connect with us

Makala

Bundasliga Kurejea Rasmi May 22

Ligi kuu Ujerumani (Bundasliga)sasa itarejea May, 22 na si May,15 kama ilivyoripotiwa awali sababu ya Chancellor wa Ujerumani ,Angel Merkel ameagiza kuwa soka hilo litarejea ikiwa timu za madaraja yote zikimaliza karantini ya siku 14.

Siku ya leo iliripotiwa kuwa viongozi wa juu wa serikali ya Ujerumani watakaa na kutangaza uamuzi ambao utakuwa salama kwa ligi zote kurejea pasipo kuleta madhara.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala