Connect with us

Makala

Besiktas Watumia Mashine Kuuwa Virusi Vya Corona

Klabu ya Uturuki inayoshirika Super Lig “Besiktas” imeanzisha utaratibu wa kuwanyunyuzia dawa ya kuuwa virusi vya Corona kwa kutumia mashine wafanyakazi wote pamoja na wachezaji wao kabla ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kujinginga na virusi hivyo .

Mashine hiyo imewekwa katika eneo lao la kufanyia mazoezi ili kuwezesha kila mchezaji na wafanyakazi wa timu hiyo kutodhurika na virusi hivyo vya hatari.

Siku ya Jumanne, Besiktas ilianza mazoezi kujianda na Ligi inayotarajiwa kuanza  tena mwezi Juni 12 kutokana na Ligi kusimamisha kutokana na janga la Covid-19 .

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala