Connect with us

Makala

Beki Yanga Asaini Namungo

Namungo Fc imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Yanga Sc, Jaffar Mohammed kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Usajili wa beki huyo unaenda kuongeza nguvu  eneo la ulinzi kwa lengo la kuhakikisha wanakuwa imara kuelekea mashindano ambayo Namungo Fc itashiriki kuiwakilisha Afrika kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Namungo Fc ilipata fursa hiyo baada ya kushika nafasi ya pili kwenye fainali za kombe la shirikisho la Azam (ASFC) ambapo ubingwa ulichukuliwa na Simba Sc.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala