Connect with us

Makala

Bado Nahitaji Kutumika Arsenal-Ozil

Erkut Sogot ambaye ni wakala wa staa wa Arsenal ,Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho kwani bado anahitaji kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya kocha mkuu,Mikel Arteta.

Ozil amekuwa akihusishwa kuondoka ndani ya timu hiyo msimu ujao na ikitajwa kuwa anaelekea Uturuki katika timu ya Fenerbance inatajwa zaidi kuhitaji saini ya kiungo huyo fundi wa mpira.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 raia wa Ujerumani amecheza michezo 18 ya ligi msimu huu na kufanikiwa kuifungia Arsenal bao 1 na kutoa asisti 2.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala