Connect with us

Makala

Azam Fc yavuliwa ubingwa.

Azam Fc na Simba Sc wametoka suluhu ndani ya dakika tisini katika mchezo wa pili wa nusu fainali kombe la mapinduzi visiwani Zanzibar,uwanja wa Amaan.

Simba imetinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 walizozipata kwa Azam Fc na kusababisha mabingwa hao kushindwa kuendelea na michuano yaa kuwania kombe la Mapinduzi.

Penalti za Simba zifungwana na Erasto Nyoni,John Boko,Jonas Mkude huku Meddie Kagere na Sharaff Shiboub wakikosa huku kwa upande wa Azam fc Yakubu Mohamed,Bruce Kangwa huku Donald Ngoma,Idd Kipagwile na Razack Habarola wakikosa mikwaju yao.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala