Connect with us

Makala

Azam Fc Kuvaana Na Fountain Gate Leo

Azam Fc ambao ni vinara wa kigi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) itakuwa na mchezo wa kirafiki leo Octoba 12,dhidi ya  Fountain Gate SC .

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo katika uwanja wao uliopo Chamazi wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku ikiwa ni kwa ajili ya maandalzi ya mechi zao za ligi kuu bara.

Kwa sasa Azam Fc ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 15 baada ya kucheza mechi tano na ipo kwenye kibarua cha kunoana na Mwadui Fc katika mchezo wa raundi ya sita wa ligi kuu bara.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala