Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 6 years agoYanga Botswana,Simba Msumbiji Klabu Bingwa
Ratiba ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika imetoka ambapo wawakilishi wa Tanzania timu za Simba na Yanga zimepangwa kuanza...
-
Soka
/ 6 years agoShikalo Awasili,Atua Moro
Kipa mpya wa timu ya Yanga sc Mkenya Farouk Shikalo jana amewasili nchini na kupokelewa na kaimu katibu mkuu wa klabu...
-
Soka
/ 6 years agoKCCA Mabingwa Kagame Cup
Timu ya soka ya KCCA kutoka nchini Uganda wamefanikiwa kuwa mabingwa wa michuano ya kombe la Kagame baada ya jana kuifunga...
-
Soka
/ 6 years agoMoto wa Balinya Usipime Moro
Mshambuliaji wa Yanga sc Mganda Juma Balinya (JB) ni kama ameuwasha moto huko kambini Morogoro ambako kikosi hicho kimeweka kambi ya...
-
Soka
/ 6 years agoAlgeria Bingwa Afcon 2019
Timu ya taifa ya Algeria imetwaa ubingwa wa kombe la mataifa ya Afrika baada ya jana kuifunga Senegali 1-0 katika mchezo...
-
Soka
/ 6 years agoNduda,Mbonde Warudi Nyumbani
Timu ya Mtibwa Sugar imesajili wachezaji Said Mohamed “nduda” na Salim Mbonde waliotemwa na klabu ya Simba baada ya miaka miwili...
-
Soka
/ 6 years agoAlliance,Billo Mambo Safi
Timu ya Alliance Fc imefikia makubaliano na kocha Athuman Bilali “Bilo”kuifundisha timu hiyo kwa kumpa mkataba wa miaka miwili ili kuongoza...
-
Soka
/ 6 years agoMsudani Atua Biashara Utd
Timu ya Biashara United ya mkoani Mara imeendelea kuboresha kikosi chake kwa kusajili mchezaji Yassir Khemis Celestino kwa mkataba wa mwaka...
-
Soka
/ 6 years agoBigirimana-“As Vita Hawanitishi Ngo”
Mshambuliaji mpya wa Yanga sc Issa Bigirimana “walcot” amesisitiza kuwa anawafahamu vizuri timu ya As vita baada ya kukutana nao mara...
-
Soka
/ 6 years agoAjibu,Rooney Walala Hoteli Moja Bondeni
Ni kama zali la mentali kwa mshambuliaji Ibrahimu Ajibu baada ya kusota akiwa jangwani na sasa anakula raha katika hoteli aliyokaa...