Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Muungano nchini baada ya kuifunga timu ya Kvz kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa …
Sports Leo

Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Klabu ya Barcelona Fc imeibuka mabingwa wa kombe la mfalme la nchini Hispania (Copa De La Rey) baada ya kuifunga timu ya Real Madrid kwa mabao 3-2 katika mchezo mkali …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Pyramid Fc Fiston Mayele ameivusha klabu hiyo kwenda hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika baada ya kufunga mabao mawili katika …
-
Klabu ya Simba Sc sasa rasmi itavaa nembo ya mavazi ya Diadora kuanzia msimu ujao katika vifaa vyote vya mazoezi na mechi pamoja na hafla rasmi za klabu hiyo baada …
-
Klabu ya Yanga sc imefikia makubaliano ya kuachana na mshambuliaji Kennedy Musonda ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni msimu huu. Staa huyo aliyesajiliwa miaka mitatu iliyopita kutokea klabu ya Power Dynamos …
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Azam Fc tayari umewasili mjini Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Kagera Sugar Fc utakaofanyika …
-
Klabu ya Simba Sc imesaini mkataba wa usambazi wa jezi na Kampuni ya jayrutty ya nchini wenye thamani ya bilioni 38 katika kipindi cha miaka mitano. Mkataba huo umesainiwa jana …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki ameiongoza klabu hiyo kuifunga Timu ya Stand United kwa mabao 8-1 katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho …
-
Klabu ya Simba Sc kupitia kwa meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo leo imetangaza kauli mbiu ya mchezo ujao wa nusu fainali dhidi ya Fc Stelleboch …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani siku kumi akiuguza majeraha ya enka aliyoyapata katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …