Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 5 years agoKilimanjaro Waua 9
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ leo imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA uwanja wa Chamazi kwa ushindi...
-
Makala
/ 5 years agoRonaldo Akaribia 100
Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amefikisha idadi ya magoli 98 katika timu yake ya taifa pamoja...
-
Soka
/ 5 years agoStraika Yanga Aibuka Mfungaji Bora
Straika wa zamani wa klabu ya Yanga Kpah Sherman ameibuka mfungaji bora wa ligi kuu ya Malaysia baada ya kufunga mabao...
-
Soka
/ 5 years agoStars Yapaa,Nyoni Abaki
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) imekwea pipa leo alfajiri kuelekea nchini Tunisia kucheza mechi ya pili ya kuwania kufuzu fainali...
-
Soka
/ 5 years agoStars Yachukua Pointi Tatu
Mabao ya Saimon Msuva 68′ na Abubakar Salum 90+4 yalitosha kuipa ushindi wa 2-1 timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) dhidi...
-
Soka
/ 5 years agoRudiger Kula Kandarasi Mpya Chelsea
Chelsea ipo mbioni kumuongezea kandarasi mpya nyota wake, Antonio Rudiger licha ya nyota huyo kuwa nje kutokana na majeraha klabu hiyo...
-
Soka
/ 5 years agoCecafa Wanawake Yanoga
Timu mbalimbali zimeanza kuwasili Tanzania kuelekea kwenye mashindano ya Cecafa kwa Wanawake yatakayoanza Novemba 16-25,2019 Dar es Salaam. Tayari timu za...
-
Soka
/ 5 years agoMkude Aondolewa Stars
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije amempa ruhusa Kiungo Jonas Mkude kuondoka kwenye Kambi ya Kikosi hicho kwenda kushughulikia masuala...
-
Soka
/ 5 years agoBayern Yakomaa na Guardiola
Klabu ya soka ya Bayern Munchen inayoshiriki ligi kuu nchini ujerumani inataka kumrudisha kocha Pep Guardiola wa Manchester city kuifundisha klabu...
-
Soka
/ 5 years agoSalah Kuwakosa Kenya
Mshambuliaji wa timu ya Liverpool fc Mohamed Salah ataikosa michezo ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Kenya na...