Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 5 years agoTetesi Za Soka Barani Ulaya
Meneja wa Wolves Nuno Espirito Santo ndiye meneja aliye mstari wa mbele kuchukua nafasi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal...
-
Soka
/ 5 years agoAzam Moto,Chirwa Fire
Klabu ya soka ya Azam fc imeiwashia moto klabu ya Allince baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu...
-
Soka
/ 5 years agoEmery Presha Tupu Arsenal
Imeelezwa kuwa, uongozi wa Arsenal umeanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa kuchukua mikoba ya kocha wao wa sasa, Unai Emery ambaye...
-
Soka
/ 5 years agoKitambi Aongoza Mazoezi Simba
Wakati kocha mkuu wa timu ya Simba sc Patrick Aussems akiendelea na adhabu kocha msaidizi wa klabu hiyo Dennis Kitambi ameongoza...
-
Soka
/ 5 years agoBalama Kuwakosa Alliance
Kiungo fundi wa klabu ya Yanga sc Balama Mapinduzi ataukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance baada ya kushindwa kupona...
-
Soka
/ 5 years agoSadney Aonekana Yanga
Straika Mnamibia wa klabu ya Yanga Sadney Urikhob ambaye inadaiwa ametoweka klabuni hapo ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika...
-
Soka
/ 5 years agoK’njaro Queens Yapoteza
Timu ya taifa ya wanawake nchini(Kilimanjaro queens) imeshindwa kutetea ubingwa wa kombe la Chalenji baada ya jana kufungwa mchezo wa fainali...
-
Soka
/ 5 years agoUchebe Asimamishwa Simba
Timu ya Simba sc imemsimamisha kazi kocha mkuu Patrick Aussems mpaka Novemba 28 mwezi huu ambapo kikao cha bodi ya wakurugenzi...
-
Soka
/ 5 years agoMkasa Wa Mapinduzi Balama
Nyota wa Yanga kijana Mapinduzi balama sasa wanamuita “kipenseli” ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Iringa. ni moja kati ya wachezaji...
-
Soka
/ 5 years agoYanga Hakuna Kulala
Baada ya mchezo dhidi ya Alliance Fc, ligi itasimama kupisha michuano ya CECAFA Chalenji ambayo itafanyika nchini Uganda kuanzia Disemba Mosi...