Connect with us

Soka

”Wako Fiti”Arteta

Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amethibitisha kuwa wachezaji wake Willian pamoja na David Luiz wako fiti kuelekea kwenye mchezo wa Leo wa Ligi Kuu nchini Uingereza dhidi ya West Brom.

Wachezaji hao walilazimika kukaa pembeni wakihofiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kuwa karibu na Gabriel ambaye amepata ugonjwa huo.

Wachezaji muhimu wataoukosa mchezo huo ni pamoja na Gabriel Magalhaes (Covid-19), Thomas Partey (ameanza mazoezi lakini bado hajawa fiti)

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka