Connect with us

Soka

Juuko Murshid Kutimkia Bondeni

Beki wa zamani wa klabu ya Simba sc anayeichezea Express Fc ya nchini Uganda Juuko Murshid  ataenda kufanya majaribio kunako klabu ya Maritzburg United Afrika Kusini.

Klabu yake ya Express FC nchini Uganda imethibitisha kuwa beki huyo mkongwe ambaye amekataa wito wa kushiriki michuano ya kimataifa kwa wachezaji wa ndani (CHAN) ndani ya kikosi cha Uganda ili acheze Afrika Kusini.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka