Connect with us

Soka

Simba Wafungukia Upangaji Matokeo

Taarifa kutoka katika vyanzo rasmi vya habari katika klabu ya Simba sc vinasema kwamba klabu hiyo imekubali kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola kuhusu suala la upangaji matokeo linalolalamikiwa na klabu hiyo yenye maskani yake Kariakoo jijini Dar es salaam.

Simba sc imesema kuwa ipo tayari kutoa ushirikiano kuhusu suala hilo ambalo limekua gumzo nchini kiasi cha baadhi ya viongozi wa zamani wa klabu hiyo kukamatwa na kuhojiwa katika kituo cha polisi Oysterbay.Taarifa hiyo inasomeka ifuatavyo:

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka