Connect with us

Makala

Serengeti Waingia Mkataba Na Tff

Shirikisho la soka Tanzania(TFF) lililochini ya chini ya Rais ,Wallace Karia limeingia makubaliano na bia ya Serengeti Premium Lager na kusaini mkataba wa kuidhamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Tff imeingia mkataba huo kwa mara nyingine kwa kipindi cha miaka mitatu ambacho ni sawa na bilioni 3 za kitanzania

Makubaliano hayo yamefanyika mbele ya waandishi wa habari kwenye leo Octoba 6 katika hafla fupi iliyofanyika hotel ya Serena ambapo pia wamezindua jezi za timu ya taifa ya Tanzania.

Timu ya Taifa ya Tanzania kwa sasa ipo kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Brurundi uliopo kwenye kalenda ya FIFA utakaochezwa Oktoba 11, uwanja wa Mkapa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala