Connect with us

Makala

Yanga Yajivunia Majembe Yao Matano

Uongozi wa Yanga Sc umejiridhisha na uwezo wa nyota wao watano waliowasajili katika msimu huu wa pili wa ligi kuu bara ulioanza 12 Septemba na wamejiakikishia kuwa wakiendelea na mazoezi kwa muda wa siku 20 timu watakazokutana nazo uwanjani watapata tabu sana.

Mshindo Msolla ambaye ni daktari wa falsafa yanga amesema kuwa fedha zilizotumika kuwasajili wachezaji hao zimetolewa kihalali na wala GSM hawakukosea kusimamia usajili huo.

Nyota hao watano waliosajiliwa msimu huu na Yanga Sc ni Tuisila Kisinda,Yacouba Sogne na Michael Sarpong wakiwa kama washambuliaji huku viungo wakiwa Carlinhos wa Angola na Mukoko Tunombe.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala