Connect with us

Makala

Baada ya 2-1 Watua Bongo Leo

Kikosi cha Simba Sc kimewasili jijini Dar es Salaam leo kikitokea Mbeya ambapo kilikuwa na mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa ligi kuu bara dhidi ya Ihefu Fc.

Mchezo huo ulichezwa jana uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Ihefa Fc na kunyakua pointi tatu za mchezo wa kwanza wa ligi.

Simba Sc kwa sasa inaanza kujiaandaa kwa ajili ya mchezo wa pili Septemba 12 ambao utakuwa dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Jamhuri, mkoani Morogoro.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala