Connect with us

Makala

Alikiba Apagawisha Umati Azam Festival

Msanii wa kitaifa na kimataifa,Alikiba ameziteka fahamu za mashabiki wa Azam siku ya leo katika kusheherekea sikukuu yao ya tangu kuanzishwa kwake.

Mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa ni waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe.

Alikiba aliwasili uwanja wa Azam Complex akiwa na msafara wa magari mawili aina ya Land Cruiser za rangi ya kijivu ambapo alikuta ratiba ya kuwatambulisha wachezaji wapya wa Azam Fc wakitambulishwa pamoja na wale wa msimu wa 2019/2020.

Wachezaji Wapya waliotambulishwa ni pamoja na Awesu Awesu (Kagera Sugar), Ally Niyonzima, (Rayorn Sports), Ayoub Lyanga,(Coastal Union),Ismail Kada,(Tanzania Prisons),David Kissu,(Gor Mahia),Emmanuel Charlse,(Mbao), Prince Dube (Highlanders FC).

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala