Connect with us

Soka

Makapu Amlilia Eymael

Baada ya Kocha, Luc Eymael kutimuliwa Yanga, kiungo wa timu hiyo, Juma Makapu ameibuka na kupost picha akiwa na kocha huyo kupitia status yake pale WhatsApp na kuandika “Narudi kuleee kwenye benchi usiondoke faza”

Kumbuka Eymael ndiye aliyezuia Makapu kuondoka Yanga baada ya uongozi kutaka kumtoa kwa mkopo lakini yeye alimuita mazoezini na kweli akafanya vizuri kisha akabakizwa kikosini, na alianza mechi zote za derby na kufanya vizuri.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka