Connect with us

Soka

Morrison Aimaliza Kagera Sugar

Bao pekee lililofungwa na Bernad Morrison dakika ya 78 limetosha kuipa alama 3 za mchezo klabu ya Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.

Morrison alifunga bao hilo kufuatia pasi ya David Molinga ambaye aliunasa mpira ulioshindwa kuokolewa na wachezaji wa Kagera sugar.

Yanga baada ya mchezo huo inatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam usiku wa leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Watani wa jadi Simba sc siku ya Jumapili.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka