Connect with us

Soka

Chelsea Wang’ang’ania Top

Klabu ya Chelsea chini ya mkufunzi Frank Lampard imeendelea kung’ang’ani nafasi  nne za juu katika msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kufanikiwa kuifunga Crystal Palace mabao 3-2.

Mabo ya Chelsea yalipatikana kupitia kwa Oliver Giroud dakika ya 6,Christian Pulisic dakika ya 47 na Tabby Abraham dakika ya 71 huku yale ya Palace yakifungwa na Wilfred Zaha dakika ya 34 na Christian Benteke dakika ya 72.

Chelsea wamepanda mpaka nafasi ya tatu wakiwa na alama 60 huku Leicester City wakiwa nafasi ya nne kwa alama 59 na nafasi ya tano inashikiriwa na Man united wenye alama 55 wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka