Connect with us

Soka

Tff Yashusha Rungu Waamuzi

Waamuzi Elly Sasii, Sudi Lila na Mbaraka Haule wanafungiwa miezi mitatu kwa kosa la kutokuumudu mchezo uliochezwa Juni 21, 2020 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo namba 300 iliyowakutanisha  Young Africans SC Vs Azam FC  ambayo iliisha suluhu huku mwamuzi akikataa mabao mawili ya wazi ya Azam fc pamoja na penati ya klabu ya Yanga makosa yaliyoifanya Tff kutoa Adhabu hii kulingana na uzingativu wa kanuni ya 39(1) kuhusu udhibiti wa waamuzi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka