Connect with us

Soka

Yanga Yatinga Sabasaba

Klabu ya Yanga sc imekua klabu ya kwanza Tanzania kushiriki maonyesho ya kibiashara ya kimataifa sabasaba baada ya kuweka banda maalumu lenye bidhaa mbalimbali za klabu hiyo.

Banda hilo lililopambwa na rangi za njano na kijani linatoa baadhi ya huduma kama kuuza jezi na vitu mbalimbali vya klabu hiyo pia ikiwemo kufahamu historia ya klabu hiyo ambapo mteja atapata fursa ya kuona makombe mbalimbali ya klabu hiyo iliyoshinda.

Yanga sc ambayo kikosi chake kimepaa kwenda mkoani Mara ambapo itawavaa biashara united siku ya jumapili.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka