Connect with us

Soka

Shiboub Agoma Kurejea

Kiungo wa klabu ya Simba, Sharaf Eldin Ali Shiboub amegoma kurejea Tanzania kujiunga na Simba kwa madai ya kutotimiziwa mahitaji yake binafsi

Viongozi wa Simba wanajua Shiboub ameshindwa kurejea nchini kwa wakati kutokana na kufungwa kwa mipaka ya Sudani kwa sababu ya ugonjwa wa Corona.

Nyota huyo ambaye mkataba wake unaisha mwezi ujao na Klabu ya Simba anadai kuwa ameshindwa kupata nafasi ndani ya Simba Kutokana na ujio wa kocha Sven Vandenbroeck ambaye amekuwa sio chaguo lake kwenye kikosi cha Kwanza hivyo anaweza asirudi kabsa baada ya mkataba wake kuisha.

Cc:African sports today

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka