Connect with us

Soka

Sevila Waikazia Barca

Licha ya kumiliki mpira kwa asilimia 68 Barcelona wameshindwa kuibuka na ushindi walipoitembelea Sevila jana katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania (La liga).

Barca walifanikiwa kupiga mashuti matatu pekee yaliyolenga lango sawa na wenyeji japo hawakumiliki mpira sana lakini walitumia nguvu kubwa kuwazuia Barca iliyoongozwa na Lionel Messi wakicheza faulo mara 19 na kupata kadi za njano 3.

Barca wamesalia kileleni mwa La liga wakiwa na pointi 65 huku Madrid wakimfukuzia kwa ukaribu zaidi katika nafasi ya pili kwa tofauti ya pointi 2 huku akiwa na mechi mkononi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka