Connect with us

Soka

Solskjaer Achomoa

Mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza kati ya Tottenham Hotspur dhidi ya Manchester United umemalizika kwa sare ya bao moja na kuongeza matumaini ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani ulaya.

Spurs walikuwa wakwaza kupata bao bao dakika ya 32 kupitia kwa Steven Bergwin kufuatia makosa ya kipa David de Gea kabla ya Bruno Fernandes kuisawazishia United kwa mkwaju wa penati dakika 80 baada ya Paul Pogba kuangushwa na Erick Dier.

United wanasalia nafasi ya tano wakiwa na pointi 46 pungufu ya pointi mbili ili kuingia katika nafasi nne za juu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka