Connect with us

Makala

Mbaki Salama-Kagere

Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere amerejea leo nchini Rwanda kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya ligi kuu bara kusimamishwa kwa muda wa siku 30 kutokana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Kagere amesema kuwa:” Usalama kwanza na ni matumaini yangu kila kitu kitakuwa sawa, bakini salama”

Kiungo huyo ambaye ametupia jumla ya mabao 19 kwenye timu yake ya Simba Sc ambayo inashika nafasi ya kwanza ligi kuu ikiwa na pointi 71 anatarajia kurudi nchini Tanzania baaada ya ligi kutangazwa kuanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala