Connect with us

Makala

Isabella Aomba Radhi

Isabella Mwampamba ambaye ni mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na watanzania kwa njia simu kupitia mkutano wa waandishi wa habari na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwa mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.

Mwanamama huyo aliingia nchini mnamo tarehe 15,march kupitia uwanja wa KIA akitokea Ubelgiji na alipochunguzwa kwa mara ya kwanza uwanjani hapo hakuonyesha kuwa na dalili zozote za virusi hivyo.

Baada ya kufika Temi Vali Hotel alianza kujisikia vibaya na alimpigia daktari  simu ili aje amchukue vipimo na aligundulika ana virusi vya Corona baada ya majibu kutoka.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala