Connect with us

Makala

Uongozi Yanga,Yaliyozushwa Si Kweli

Uongozi wa timu ya wananchi Yanga umekanusha kuwa  hawakumtuhumu mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam ,Paul Makonda kuhusu jambo lolote linalohusiana na timu yao ya Yanga.

Taarifa hiyo ilisambaa kwenye mitando ya kijamii kuwa Yanga haikuwa na uwezo wa kuifunga Simba huku ikielezwa kuwa barua hiyo iliyosambazwa ilikuwa ni ya watu ambao si wa kutoka katika ofisi ya klabu hiyo.

Katibu mkuu wa Yanga ,David Ruhango amekataa taarifa hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ameeleza kuwa yanga haihusiki kwa namna yoyote na taarifa hizo kuhusu tuhuma za klabu ya Yanga kwa mkuu wa mkoa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala