Connect with us

Soka

35 Waitwa Stars Kujiandaa Chan

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije ameteua kikosi cha wachezaji 35 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kufuzu mataifa ya Afrika(Afcon) na michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani(Chan).

Kikosi hicho kimetajwa leo na wachezaji hao wanatakiwa kuingia kambini machi 12 kujiandaa na mchezo dhidi ya Tunisia ambapo moja ya wachezaji wageni kikosini humo ni Robert Kissu anayekipiga Gormahia ya Kenya,Salum Salula kutoka Malindi fc,Kelvin Kijiri(Kmc),Reliant Lusajo na Lucas Kikoti(Namungo Fc),Sixtus Sabilo(Polisi Tanzania).Orodha kamili ni Ifuatayo.

.
MAKIPA
1.AISHI MANULA-SIMBA
2.METACHA MNATA -YANGA
3.BENEDICTO TINOKO -KAGERA
4.MOHAMED YUSUPH – POLISI
.
MABEKI
5.JUMA ABDUL -YANGA
6.KELVIN KIJIRI-KMC
7.MOHAMED HUSSEIN -SIMBA
8.YASIN MUSTAFA – POLISI
9.BAKARI NONDO -COASTAL
10.MOHAMED KASSIM-POLISI
11.KELVIN YONDAN -YANGA
12.ERASTO NYONI – SIMBA
13.IDDY MOBBY – POLISI
.
VIUNGO
14.JONAS MKUDE-SIMBA
15.FEISAL SALUM-YANGA
16.BRAYSON RAFAEL-AZAM
17.ABUBAKAR SALUM-AZAM
18.HASSAN DILUNGA-SIMBA
19.CLEOFAS MKANDALA-PRISON
20.SIXTUS SABILO-POLISI
21.KIKOTI KIKOTI-NAMUNGO
22.MAPINDUZI BALAMA-YANGA
23.IDD NADO -AZAM
.
WASHAMBULIAJI
24.JOHN BOCCO-SIMBA
25.DITRAM NCHIMBI-YANGA
26.YUSUPH MUHILU-KAGERA
27.PAUL NONGA-LIPULI
28.MARCEL KAHEZA-POLISI

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka