Connect with us

Soka

Mayanga Abeba Tuzo Februari

Mshambuliaji wa timu ya Ndanda SC ya Mtwara, Vitalis Mayanga amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020.

Mayanga amewashinda Reliants Lusajo na Blaize Bigirimana wote wa Namungo alioingia nao fainali.Ushindi wa Mshambuliaji huyo umetokana na mchango mkubwa alioipa timu yake kwa mwezi huo.

Pia kocha  mkuu wa mabingwa wa Tetezi wa ligi kuu bara ametwaa pia tuzo ya kocha bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020, Vandenbroeck amewashinda Hatimana Thiery wa Namungo na Abdul Mingange wa Ndanda alioingia nao fainali.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka