Connect with us

Makala

Benchi la Ufundi Kuimarishwa KMC

Klabu ya KMC imempa vikoba Habibu Kondo kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho ili kuweza kuisaidia kubaki kwenye msimamo wa ligi kuu msimu ujao.

Kondo amethibitisha kumalizana na mabosi hao ambapo makubaliano yao ni kuitumikia timu hiyo kwa kipindi hiki kilichobaki kumalizia msimu lengo ikiwa ni kuibakiza timu ligi kuu.

“Nashukuru kikao kimeenda vizuri kwa kukubaliana kuinoa timu hii kwa msimu uliobaki kisha  mengine yataendelea huko mbeleni ,pia nitakuwa chini ya kocha mkuu Haruna Hererimana”alisema Kondo

KMC ambayo ni msimu wake wa pili kushiriki ligi kuu imekuwa na matokeo yasiyoridhisha kwani katika michezo 24 aliyocheza imekuwa na pointi 21 na kuwa nafasi ya 19.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala