Connect with us

Soka

Samata Ashtua Wazungu

Wachezaji wa Aston Villa wakiongozwa na Jack Grealish, Tyrone Mings na Ezri Konsa wameshtushwa na kasi inayooneshwa na Mbwana Samatta katika mazoezi ya klabu hio katika uwanja wa Bodymoor.

Akizungumza na chombo cha habari cha jiji hilo la Birmingham[ Birmingham Live ] kocha wa klabu hiyo Dean Smith alisema kwa kasi ya mchezaji huyo imewashangaza wenzake “Amewashangaza wachezaji wetu wengi jinsi alvyo mzuri.,” ameelezea kocha huyo wa Aston Villa.

Samatta alijiunga na Aston Villa akitokea Krc Genk ya nchini Ubeligiji ambapo alijiunga nayo mwaka 2015 akitokea Tp Mazembe ya Drc Kongo mwaka 2015.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka