Connect with us

Soka

Man Utd Yamnyemelea Bosi wa Haaland

Manchester United wanatafakari uwezekano wa kuwasajili mkurugenzi wa zamani wa michezo Paris St-Germain, Antero Henrique na mkuu wa michezo wa RedBull Salzburg Ralf Rangnick ili kuchukua jukumu la ukurugenzi wa ufundi klabuni hapo.

Inaelezwa kuwa mazungumzo na Henrique yamefikia hatua nzuri na vyanzo karibu na Mkurugenzi huyo mwenye umri miaka 51 vinadai kuwa yupo karibu kukubaliana na United.

Rangnick, Mkurugenzi wa Michezo wa Red Bull anayependwa na viongozi wengine wakubwa huko Manchester United pia amekuwa akitakiwa na AC Milan.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka