Connect with us

Soka

Shoo Ya Haaland Yamshinda Neymar

Kinda wa klabu ya Borrusia Dortmund Eerlin Haaland amezidi kuonyesha ukomavu baada ya kuisadia Dortmund kuifunga Paris St.German katika mchezo wa michuano ya klabu bingwa barani ulaya uliofanyika katika uwanja wa Signal Iduna Park.

Kinda huyo aliyekua akicheza mchezo wake wa kwanza wa klabu bingwa ulaya akiwa na timu hiyo alifunga mabao dakika za 66′ na 77′ huku bao la Psg likifungwa na Neymar dakika ya 75′.

Magoli hayo yamemfanya Haaland kuingia katika rekodi za UEFA baada ya kuwa kinda wa kwanza kufikisha mabao 10 katika michuano hiyo huku akiwa amecheza mechi 7 pekee.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka