Connect with us

Soka

GSM Wainogesha Yanga

Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM wameendelea kuboresha Makao Makuu ya klabu hiyo yaliyoko Mtaa wa Twiga na Jangwani ikiwa ni moja ya makubaliano ya kimkataba waliousaini hapo awali.

Yanga inakusudia kuanza kulitumia jengo hilo kwa ajili ya matumizi ya hostel za wachezaji ili kupunguza gharama za uendeshaji wa timu ambapo hukaa kambini hotelini.

Pia GSM wanatarajiwa kujenga duka kubwa kwa ajili ya kuuza bidhaa mbalimbali za klabu ya Yanga ambapo wanachama na wapenzi wa klabu hiyo watanunua kwa ujumla na rejareja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka