Connect with us

Soka

Twiga Stars Yampiga Mtu Wiki

Timu ya Taifa ya wanawake (Twiga stars) imeibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya Mauritania katika michuano ya kanda ya kaskazini kwa timu za wanawake (Unaf) mchezo uliochezwa katika uwanja wa Akram.

Mabao ya Twiga Stars yalifungwa na Amina Ally 13′ Opa Clement 17′ na Aisha Hamza aliyefunga mabao mawili dakika za 23 na 45 huku Mwanahamis Omary akifunga dakika za 30 na 40 na Enekia Kasonga akifunga bao moja dakika ya 27.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka