Connect with us

Makala

Lipangile Awafunika Dilunga,Wadada

Straika wa klabu ya Kmc Sadala Lipangile ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi january kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirikisho la soka nchini(Tff).

Staa huyo ameshinda tuzo hiyo akiwabwaga Hassan Dilunga wa Simba sc na Nicolaus Wadada wa Azam fc huku kocha wa Simba Sven Vandenbroeck na Malale Hamsini wa Polisi Tanzania wakibwagwa na kocha wa Azam fc Aristica Cioaba.

Lipangile atajinyakulia kiasi cha shilingi Milioni moja pamoja na king’amuzi cha Azam Tv.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala