Connect with us

Soka

Mastaa Kibao Majeruhi Simba

Klabu ya Simba imebainisha kuwa wachezaji wake wanne wa kikosi cha kwanza wanasumbuliwa na majeraha mbalimbali kipindi hiki.

Wachezaji hao ni mabeki Erasto Nyoni aliyeumia mguu katika mechi dhidi ya Namungo,Deo Kanda aliyeumia katika mechi dhidi ya Yanga huku Miraji Athumani na Mzamiru Yassin nao ikiwa wanasumbuliwa na majeraha.

Pia klabu hiyo imebainisha kwamba Shomari Kapombe na Rashidi Juma wao wanaumwa magonjwa ya kawaida na watarejea mechi ijayo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka