Connect with us

Makala

Hatimaye Samatta Amwaga Wino

Mchezaji wa kitanzania ambaye anacheza ndani ya Taifa Stars na KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta amekamilisha usajili wa kuichezea timu ya England Aston Villa kwa mkataba wa miaka minne na nusu.

Mbwana Samatta anakuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi kuu England baada ya kukamilisha taratibu zote za usajili na anaipa Tanzania heshima kubwa .

Aston Villa ikiwa nafasi ya 18 na imecheza mechi 23 kocha wake Dean Smith ana kibarua cha kupambana timu yake isishuke daraja kwenye msimu huu wa ligi kuu England.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala