Connect with us

Makala

Yanga Hatulambi Sukari.

Timu ya wananchi Yanga Sc inatarajia kucheza mechi yao ya kwanza na Kagera Sugar  kwa mwaka 2020 ikiwa ni mechi ya pili ya ligi kuu kwa mwaka huu baada ya kutoa droo na watani january 4.

Katika uwanja wa Taifa siku ya Jumatano saa moja jioni Yanga Sc na vijana hao wa kocha Mecky Mexime watakichapa na kuona nani atakuwa mbabe kwa mwaka huu.

Yanga wamesema kuwa wanahitaji kuchukua pointi tatu kutoka kwa timu hiyo na hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi kwani muda ni rafiki kwa kila mtu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala