Connect with us

Soka

Mashabiki Yanga Wamvaa Sasi

Mashabiki wa klabu ya Yanga hawajafurahishwa hata kidogo na Maamuzi ya Mwamuzi,Ally Sasi aliyokuwa akiyatoa jana kwenye mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa matokeo ya sare (1-1) dhidi ya KMC kwenye uwanja wa Uhuru.Mashabiki hao wamesema Mwamuzi hakuchezesha vizuri kabisa na inaonekana ni mipango tu ambayo inatengenezwa kutaka kuwarudisha nyuma ndio maana maamuzi yao ni mabovu.

Wakiongea kwa jaziba wanadai kuwa malengo yao hasa yalikuwa niyakushinda back to back lakini mwamuzi kawarudisha nyuma katika mchezo wa leo (Jana).Walikuwa wanamheshimu sana Mwamuzi,Henry Sasi lakini alichokifanya kwa kweli amejivunjia heshima,Wachezaji wa KMC walikuwa wakifanya Madhambi lakini badala ya kuwapa kadi yeye alikuwa akiwaonya tu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka