Connect with us

Soka

Domayo Arudishwa Sauzi

Kiungo wa klabu ya Azam Fc Frank Domayo amesafiri kuelekea nchini Afrika ya kusini kupata matibabu ya kuchanika msuli wa nyama za paja.

Domayo aliyeumia wakati akiitumikia timu ya taifa wakati wakiwa kwenye maandalizi ya kuivaa Guinnea ya Ikweta jijini Dar es salaam kuwania kufuzu Afcon 2021 nchini Cameroon.

Katika safari hiyo ameambatana na daktari wa timu ya Azam Mwanandi Mwakenwa na atakua huko katika jiji la Cape Town kwa muda wa siku kumi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka