Connect with us

Soka

Man Utd Bado Kidogo Tu

Ni kama wanaanza kurudi katika hali yao ya zamani baada ya jana kulazimisha sare ya mabao 3-3 dhidi ya sherrified united ugenini.

United walilazimika kusawazisha mabao mawili ya John Fleck 19′ na Lys Mousset 52′ kupitia kwa makinda Brandon Williams 72′ na Mason Greenwood 77′ huku Rashford akiongeza bao la tatu dakika mbili baadae.

Wakati mashabiki wa Man utd wakiamini wataondoka na pointi zote tatu dakika ya 90 Ollie McBurnie alisawazisha na kufanya mchezo kuisha kwa sare na kuifanya timu hiyo ifikishe pointi 17 ikiwa nafasi ya 13.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka