Connect with us

Soka

“Hana Nafasi”

Mara baada ya Rais wa shirikisho la Kandanda la Ufaransa bwana “Noel Graet” kusema kuwa, Benzema kucheza timu ya Taifa haitowezekana, Karim Benzema amefunguka na kumjibu Rais huyo na kusema kuwa wamuache acheze taifa jingine.

“Jua kwamba, mimi pekee angu ndiye nitaamua lini nitaacha kucheza timu ya Taifa. Ikiwa unafikiria kwamba muda wangu wa kucheza timu ya Taifa umemalizika, basi niache nichezee nchi ambayo ninastahili kuichezea na tutaiona.” aliandika kwenye account yake ya Twitter.

Ikumbukwe kuwa Karim Benzema ana asili ya Algeria baada hapo awali alinukuliwa akisema Algeria ni “nchi yangu”.

NB.habari kwa msaada wa Dominick Salamba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka